×

CCM Yasikitishwa na Kulaani Kitendo cha Udhalilishaji Dhidi ya Mzee Mkoani Mara

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka.

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesikitishwa na kulaani kitendo cha udhalilishaji na ukiukaji wa haki ya msingi ya Mtanzania kuwa huru kufuata imani ya kisiasa.

Leave a Comment