





Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan imegawa vyandarua kwa Shule zote za msingi Mkoani Tanga ikiwa ni mpango wake wa kutokomeza Malaria nchini ifikapo mwaka 2030.
Akizindua mpango huo katika Shule za Msingi Mwenge na Mwakinzani Jijini humo, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omari Mgumba amesema wanafunzi wote wa Shule 1083 zilizopo ndani ya Wilaya nane na Halmashauri 11 watapata vyandarua hivyo.
Serikali Ya Cahama cha Mapinduzi Chini ya Uongozi wa mhe Rais Dkt Samia imegawa Vyandurua kwa wototo wote wa Shule za Msingi zaidi ya shule 1083 Mkoani Tanga Katika Mipango na mikakati yake ya kutokomeza Malaria nchini ifikapo Mwaka 2030 kuwa na kiwango Cha Sifuri
Ugawaji huo unatarajia kuendela katika wilaya zote 8 na Halmasharuo zote 11 za Mkoani Tanga.