×

Gilla akiri kutoka na mchekeshaji maarufu

Na Suzan Kayogela

MSANII wa filamu Bongo, Glasnost Kalinga ‘Gilla’ amekiri kutoka kimalovee na mchekeshaji mahiri Bongo (jina linahifadhiwa) na kusema kuwa alikuja kumgeuka kwa kusikiliza maneno ya watu na kujikuta wakiachana huku bado akiwa anampenda.

Leave a Comment