×

Mafuriko Tena Arusha, Wananchi Wamvaa Mkuu Wa Wilaya – ”Hana Msaada Hatujui Ametoka Wapi”… -Video


KUFUATIA majanga ya mafuriko yanayoendelea Arusha wananchi wamepaza sauti na kuililia serikali iwasaidie, Global TV imefika kwenye maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko na kujionea hali halisi….. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment