×

Mbunge Musukuma Amvunja Mbavu Spika, Ampongeza Rais Samia – Video

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma.

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma amechangia hoja katika mjadala uliokuwa ukiendelea bungeni Aprili 04, 2023, ikiwa ni siku ya kwanza ya Mkutano wa 11 wa Kikao cha Kwanza cha Bunge jijini Dodoma.

Musukuma amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha ukomavu wake katika kazi kwani maendeleo yanaonekana kila idara katika jamii.

Musukuma ameongeza kuwa kipindi Mama anakabidhiwa Urais kulikuwa na makundi mbalimbali kama Sukuma Gang na mengine mengi ila Rais hakujali hayo yote na akaendelea kuchapa kazi kama kawaida.

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma amechangia hoja katika mjadala uliokuwa ukiendelea bungeni leo Aprili 04, 2023, ikiwa ni siku ya kwanza ya Mkutano wa 11 wa Kikao cha Kwanza cha Bunge jijini Dodoma.

Musukuma amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuonesha ukomavu wake katika kazi kwani maendeleo yanaonekana kila idara katika jamii.

Musukuma ameongeza kuwa kipindi Mama anakabidhiwa Urais kulikuwa na makundi mbalimbali kama Sukuma Gang na mengine mengi ila Rais hakujali hayo yote na akaendelea kuchapa kazi kama kawaida.

Leave a Comment