×

#Exclusive Video: Tariq Aliyemwagiwa Tindikali -“Mke Wa Mtu Hahusiki, Polisi Wanamjua Mtuhumiwa, Nisaidie”


Tariq Kipemba ni kijana wa Kitanzania ambaye mwaka mmoja uliopita aliripotiwa kumwagiwa tindikali na mtu aliyekuwa kwenye bodaboda mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

Baada ya tukio hilo, Tariq alipelekwa kwenye matibabu nchini India na sasa amerejea nchini Tanzania lakini anahitaji michango ili arudi kwenye matibabu nchini India baada ya miezi minne.

Kuhusu nini kilitokea hadi akamwagiwa tindikali na ni nini kinaendelea, Global TV imefanya naye exclusive interview ambapo amefunguka mkasa mzima…

Leave a Comment