×

SBL Mwanza Yatoa Chanjo na Kuwapiga Msasa Wafanyakazi Juu ya Corona

Daktari kutoka hospitali ya kanda ya Bugando David Nathan, akitoa elimu kwa wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza juu ugonjwa wa Corona muda mfupi kabla ya wafanyakazi hao kupatiwa chanjo. 

 

 

 

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza wakifuatiia kwa makini elimu iliyokuwa inatolewa kiwandani hapo na Daktari kutoka hospitali ya Bugando juu ya ugonjwa wa Corona muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la chanjo.

 

 

 

Afisa Rasilimali watu wa kiwanda cha Bia cha Serengeti Mwanza, Alicia Rutta, akizungumza wa wafanyakazi wakati wa semina ya elimu kuhusu ugonjwa wa Corona, iliyotolewa na Dk David Nathan kutoka hospitali ya kanda Bugando.

Leave a Comment