×

Video: Daktari Aliyetafuta Mtoto Kwa Miaka Mingi Afunguka Njia Ya Kupata Mtoto

Daktari wa Hospitali ya Kairuki iliyopo jijini Dar, Catherine Chacha ameelezea safari ya mafanikio yake mpaka ameweza kuwasaidia wanawake wengi sana kupata watoto kwa njia ya virutubisho.

Ameeleza siri ya mafanikio yake mpaka sasa hivi alivyofikia na kupata umaarufu mkubwa sana kutokana na kusaidia kina mama wewe alipokuwa akifanya mahojiano kupitia @globaltvonline.

Daktari huyo aliweza kufanikiwa zaidi kupitia kurasa zake za @drsuppliments na @catherinechacha2018

Leave a Comment