Waziri wa Fedha na Mipango amependekeza kuondolewa Ada kwa Wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 na kupangiwa kujiunga na Vyuo Vikuu vya DIT, MUST na Arusha Tech kwa lengo la kuongeza idadi ya Wataalamu wenye ujuzi unaohitajika katika azma hizi za Mapinduzi ya 4 ya Viwanda
Amependekeza kuanzishwa kwa Programu ya Mikopo kwa Wanafunzi wanaochaguliwa na Serikali kujiunga na Vyuo vya Kati vya Elimu katika Fani za Kipaumbele ambazo ni Sayansi, Afya, Ufundi na Ualimu ili kuaanza na Wanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2023/24
Aidha, Serikali imeendelea kutenga Fedha kwa ajili ya kugharamia Programu ya Elimumsingi na Sekondari Bila Ada ambapo hadi Aprili 2023 jumla ya Tsh. bilioni 661.9 zimetolewaWaziri wa Fedha na Mipango amependekeza kuondolewa Ada kwa Wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 na kupangiwa kujiunga na Vyuo Vikuu vya DIT, MUST na Arusha Tech kwa lengo la kuongeza idadi ya Wataalamu wenye ujuzi unaohitajika katika azma hizi za Mapinduzi ya 4 ya Viwanda
Amependekeza kuanzishwa kwa Programu ya Mikopo kwa Wanafunzi wanaochaguliwa na Serikali kujiunga na Vyuo vya Kati vya Elimu katika Fani za Kipaumbele ambazo ni Sayansi, Afya, Ufundi na Ualimu ili kuaanza na Wanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa masomo kwa mwaka 2023/24
Aidha, Serikali imeendelea kutenga Fedha kwa ajili ya kugharamia Programu ya Elimumsingi na Sekondari Bila Ada ambapo hadi Aprili 2023 jumla ya Tsh. bilioni 661.9 zimetolewa
Bofya kusoma HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA MADELU (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2023/24