Mwathirika wa Sakata la vyeti feki ambaye ni mkazi wa Dodoma amefunguka na kueleza mwanzo mwisho jinsi alivyotoka kuwa dereva taxi hadi kuwa mfanyakazi wa serikalini huku akisisitiza kwamba vijana wawe waaminifu kwani kufoji si kitu kizuri katika maisha.