×

Jecha Salum Jecha Afariki Dunia Katika Hospital ya Lugalo Dar

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha amefariki Dunia katika Hospital ya Lugalo Jijini Dar es Salaam. Maziko yanatarajiwa kufanyika Zanzibar

Akiwa Mwenyekiti wa Tume hiyo aliwahi kufuta Matokeo ya Uchaguzi Kisiwani Zanzibar Mwaka 2015 akidai Uchaguzi  huo haukuwa wa haki na kwamba kulikuwa na ukiukwaji wa Sheria za Uchaguzi.

KISA RANGE: LULU na HAMISA WATOLEANA UVIVU! LULU ATOA la MOYONI | HOTPOT

Leave a Comment