Msanii wa Bongo Muvi,Duma ameweka wazi kuwa popote atakapokutana na msanii mwenzie Gabo, asimsalimie wala kumpa mkono, kwa sababu walishaamua kuishi hivyo na bora iwe hivyo mpaka mwisho kuliko kusalimiana kinafiki na kusababishiana matatizo.
“Sihitaji tu popote atakaponiona anisalimie maana tumekaa muda mrefu sana bila kusalimiana wala kuambiana chochote iendelee hivyo tu” alisema