Rais Samia Amuaga Rais Kenyatta Uwanja Wa Ndege Muda Huu-Video
Global Publishers December 10, 2021 4,642 views 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 Jijini Dar es Salaam