×

Rais Samia Aongoza Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia kifaa kilichounganishwa na matukio mbalimbali Duniani cha Teknolojia Halisi (Visual Reality) katika Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini (Submarine Cable) wa 2 Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mapema leo ameshiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini (Submarine Cable) wa  5G Afrika

 

Leave a Comment