×

Waziri Mkuu Ashtukia Upigaji Fedha Kigoma, Aunda Timu Ya Uchunguzi – Video


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atapeleka timu maalum ya uchunguzi wilayani Kigoma ili ifanye uchunguzi wa fedha zinazopotea kinyemela kupitia mtandao wa watumishi wasio waaminifu.

Leave a Comment