#Exclusive: Mzee Aliyeimba ‘Tanzania Yetu’ Atakutoa Machozi-Haoni, Anaimba Kwenye Baa Apate Kula – Video
Mashairi ya nyimbo na sauti tamu unayoisikia, ni kutoka kwa mzee Stiven Hiza, mwanamuziki mkongwe, ambaye tungo ya nyimbo yake ya “Tanzania nchi ya Furaha” imekuwa nyimbo pendwa kwa nchi yetu, kwenye hafla mbalimbali za serekali, kwa mama yetu
Rais Samia lakini maisha anayoishi mzee Hiza, yatakutoa machozi, akiwa na miaka 76, bado anapanda kwnye jukwaa za Bar, jijini Tanga, huku akiwa na uono hafifu, ili tu apate shilingi 6000 ya kula.
Namba ya msaada ni 0657513067 Stiven Hiza.
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
 
			
