×

Live: Waziri Mkuu Ampa Harmonize Pesa, Amtania Mrisho Mpoto – Video

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Agosti 09, amekutana na kufanya mazungumzo na taasisi mbalimbali za elimu ya juu, katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma… Kabla ya kuanza kuhutubia katika mkutano huo, waziri mkuu ametoa pesa taslimu kiasi cha shilingi elfu 50 kwa wasanii waliotumbuiza katika mkutano huo akiwemo Harmonize na Mrisho Mpoto… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment