‘Infinix Zero 30 5G’ ni simu kali ambayo inaweza kurekodi video ya 4K kwa 60fps kutumia lens mpya ya 50MP kwa camera ya mbele. https://www.instagram.com/p/CyBFjpzClu1/


Pia simu hii ina kamera kali, unaweza kuitumia kurekodi video zenye uwezo mkubwa mfano video za YouTube, TV na mitandaoni. Inatumia sensor ya ISOCELL HM6 ambayo ina ukubwa wa 1/1.67’’ ambayo ina elements 6 za f/1.65 lens, OIS, na PDAF. Pia ina lens ya ultrawide ya 13MP na sensor ya 2MP.

Inaweza kurekodi video ya 4K kwa frame 60 kwa sekunde; ambapo ni video nzuri smooth kama iPhone 15; iPhone 14 haziwezi kurekodi 4K kwa frame 60 kwa sekunde.
Kioo chake ni AMOLED Full HD+, resolution yake ni 2400 X 1080 pixels; na screen yake ina refresh rate ya 144Hz ambayo ni faster na smooth kuliko iPhone 15. Pia size yake ni inch 6.78”.
Ina battery ya Li-Po 5000 mAh na inatumia fast charger ya 68W ambayo inaweza kufikisha 80% kwa dakika 30 tu.
Mzigo upo mjini kwa Tsh. 1,060,000 tu wapigie @infinixmobiletz kwa nambari 0656317737.