
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akimsikiliza Rodriguez Valentin ambae ni Afisa katika Bandari ya Kasanga alipotembelea na kujionea mradi wa upanuzi na uboreshaji wa bandari hiyo jumanne Oktoba 9,2023 wilaya ya Kalambo akiwa kwenye ziara yake ya siku nne yenye lengo la kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25 mkoani Rukwa