Rais Samia amemteua Kaimu A. Mkeyenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo akichukua nafasi ya Dkt. Elirehema Doriye atakayepangiwa kazi nyingine
Kabla ya uteuzi Mkeyenge alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)