Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.