Timu ya Taifa Tanzania “Taifa Stars” imeondoka leo Novemba 16, 2023 kwenda Morocco kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech Jumamosi Novemba 18, 2023.