Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Abdulazizi Chande almaarufu “Dogo Janja” kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuwa yeye na mpenzi wake aitwaye Quenlinnah wamepata mtoto Novemba 15, 2023.