Rais Samia Aelekea Dubai Kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28)
Global Publishers November 30, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aagana na Viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.
COP28 ni mkutano wa 28 wa kila mwaka wa Umoja wa Mataifa (UN) ambapo serikali zitajadili jinsi ya kupunguza na kujiandaa kwa mabadiliko ya hali ya hewa siku zijazo.
Mkutano huo unafanyika Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), kuanzia tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) tarehe 30, Novemba 2023.
CCM KWAFUKUTA /CHONGOLO AKUBALIWA KUJIUZULU /KIGOGO ATOA PESA KUPATA UBUNGE /POLISI MBARONI