
Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy leo Desemba 14, 2023 ametunikiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Mahafali hayo yamefanyika katika Uwanja wa Majimaji Songea.
Kwa wanaokumbuka huyu ndiye aliyekuwa ADC (mpambe wa Rais anaesimama nyuma pale) wa JK na JPM kwa muda kabla ya kupanda cheo na kuanza majukumu mengine
