×

#Exclusive: Aliyekuwa Mke Wa Madebe Lidai Aibua Mapya – ”Ni Mjeuri -Nimejuta – Ndoa Chungu”…


Msanii wa filamu za Kibongo, Chanuo ambaye alikuwa mke wa msanii mwenzake, Madebe Lidai amesema baada ya mtafaruku kutokea na kusababisha ndoa yake kuvunjika, kamwe hayupo tayari kurudiana na msanii huyo.

Katika mahojiano maalum na Global TV, Chanuo amesema Mungu alimuandikia mapito aliyopitia ndani ya ndoa hiyo na sasa anaamini amefika mwisho hivyo hawezi kurudi nyuma.

Leave a Comment