×

#Exclusive Video: “Mchumba Wangu Alifariki Muda Wangu Wa Kuomba” -Tunu Juakali


Muigizaji wa Tamthilia ya Jua Kali, @miriamrobert anayejulikana kwa jina la Tunu, ndani ya tamthilia hiyo ameongea kwa uchungu, ugonjwa uliomuua aliyekuwa mchumba wake mtarajiwa ambaye walikuwa wafunge ndoa mwezi Julai 2023, lakini alifariki mwezi wa April 2023.

Akizungumza na Global Tv, Tunu alisema kuwa mtarajiwa wake huyo alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambapo waligundua dakika za mwisho kabisa na hata ndugu zake hawakufahamu suala hilo.

Leave a Comment