Mbunge wa Kisesa Luhagha Mpina, ametoa hoja bungeni kuhusu swala la kufuta matibabu ya gharama za kansa kwa wagonjwa kutokana na ukubwa wa gharama izo ambao unasababisha baadhi ya wagonjwa kutokumudu na kupoteza maisha.
Mpina ameeongezea hoja iyo kwa kufuta pia kwa gharama za kulaza miili ya marehemu kwenye jokofu na kuona haina haja ya mwili wa marehemu kuzuiliwa kuzikwa kisa gharama za jokofu hazijalipiwa.