Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tayari kuanza safari ya kuelekea Monduli, Arusha kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Februari 17, 2024.