Baadhi ya viongozi wa kimila wamesema kuwa wanayaenzi maisha ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kwa kuchinja ng’ombe 100 hivyo wageni wote wanaokuja kuombeleza watakula nyama hizo.
Nyama hizo zitaliwa nyumbani kwa Lowassa,, wilayani Monduli, jiji la Arusha ambako mwili wake unatarajiwa kuzikwa.