
Wakuu wa Mikoa walioachwa kufuatia uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali uliofanywa leo Machi 09, 2024 na Rais Samia Suluhu Hassan ni Kanali Laban Thomas aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Ruvuma na Dkt. Francis Michael aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Mkoa wa Songwe.
