×

Rais Samia Amteua Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa UDART

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Kabla ya uteuzi huo Kindamba alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga na anachukua nafasi ya Gilliard Ngewe ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Leave a Comment