
Mfanyabiashara maarufu wa Kariakoo jijini Dar es Salaam Sinyaa, amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa Niffer aliwatukana wafanyabiashara wa Kariakoo kuwa vipodozi vyao ni fake, na hivyo Sinyaa anamtaka mfanyabiashara mwenziye Niffer awaombe msamaha kwani hakuna aliyekamilika huenda ulimi ulitereza.
Sinyaa ameendelea kuiambia Global Tv kuwa kama akikaidi agizo hilo wao kama wafanyabiashara watampeleka Mahakamani kwani tayari wameshapata Mwanasheria.
https://globalpublishers.co.tz/exclusive-niffer-ataka-kujiua-kisa-mapenzi-nilisimama-katikati-ya-barabara-sinza-nigongwe-nife-video/