×

Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wawili Ikulu Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea Hati zake za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wawili, Ikulu Jijini Dar es Salaam Machi 11, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Libya hapa nchini Abdulmajed Albahlul Alshatewi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Machi, 2024.
Rais Samia akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Leontine Nzeyimana.
Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini  Leontine Nzeyimana mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho.
Rais Samia  akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Libya hapa nchini  Abdulmajed.
Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Burundi hapa nchini Leontine Nzeyimana.

 

Leave a Comment