Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom, imeshiriki kwenye mkutano wa 21 wa Taasisi za Kifedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kujadili uimarishaji wa sekta za kifedha kukabiliana na changamoto za kiuchumi jijini Arusha.