Mkazi wa Jijini Mwanza Theopista Alphonce (kulia).Mkazi wa Jijini Mwanza Theopista Alphonce mkazi wa Nyasaka jijini Mwanza ameikuta anaangua kilio mbele ya watu baada ya kuuwezeshwa na Waziri Silaa kupata haki yake iliyokuwa inamsumbua kwa muda mrefu
Tukio hilo limejiri katika viwanja vya Nyamagana ambapo Kliniki ya Ardhi ilikuwa ikifanyika kwa wakazi wa Jiji la Mwanza.