Video: Ajali Arusha Yaua Watu 5 Wakitoka Kwenye Mnada – Daladala Iliigonga Gari Ya Mbao
Global Publishers March 17, 2024 4,662 views 0 Comments
SHARE THIS:
Kufuatia ajali iliyohusisha daladala iliyokuwa inatoka mnadani na lori la magogo jijini Arusha na kusababisha vifo vya watu takribanmi watano, shuhuda wa ajali hiyo anasimulia jinsi hali ilivyokuwa.