Rais Samia Azindua Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi JNICC, Dar (Picha +Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan azindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya Ukiukwaji wa Misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi leo Aprili 3, 2024 katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.