×

#Breaking: Mtangazaji Clouds FM, Gadner G. Habash Afariki Dunia

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash

Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo Aprili 20, 2024.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).

Global Group Tunatoa Pole kwa Familia ya Clouds Media Group, Ndugu, Jamaa na Marafiki.
Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amen.

Leave a Comment