Msanii wa muziki wa reggae kutoka Tanzania, Afrika Mashariki, ME a.k.a Dragon Eagle ametoa wimbo wa Bwana Jela ni wimbo unaojaribu kutekeleza haki za binadamu na mazingira mazuri ya kiafya katika vituo vya polisi.