Meneja Mauzo wa Tigo Mkoa wa Arusha, Ryami Fatala akimkabidhi zawadi ya simu mkazi wa Arusha, John Mtaka katika maadhimisho ya Siku ya Usalama Makazini yaliyofanyika Mjini Arusha.