×

Shigongo: Mkitupa Ruzuku Mtatufunga Midomo, Kwa Nini TBC Ishindane Na Private Kwenye Matangazo – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema vijana wengi wa Kitanzania wana vipaji vikubwa vya ubunifu lakini wanakosa mitaji na kusisitiza kwamba lazima serikali ianzishe mfuko maalum wa kuwawezesha.

Shigongo ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Leave a Comment