×

#Exclusive Video: Mzee Alimas Wa Dosari – ”Nimemkimbia Mke Wangu Ili Niishi Vizuri – Namlaani”…

Msanii wa Bongo Movie anae upiga mwingi kwenye tamthilia ya Dosari inayoruka Dstv Mzee Alimas anefanya mahojiano na Global Tv na kusema kuwa kwa sasa anaishi pekeake kwani alimkimbia mke wake ili apate amani.

Leave a Comment