
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na baadhi ya Wanachama na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Singida, na wawakilishi wa makundi mbalimbali, baada ya mkutano wa ndani uliofanyika Mei 30, 2024, Ukumbi wa Kanisa Katoliki, Singida mjini, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake ya siku mbili, mkoani humo.