×

Usiku Wa Katambuga Waweka Historia Mastaa Kibao Watoa Ya Moyoni – Video

KIPINDI cha Katambuga kinachoruka kupitia Global Radio na Global TV Online, kimetimiza miaka mitano tokea kuanzishwa kwake.

Usiku wa kuamkia leo Juni 1, 2024 zimefanyika shamrashamra za kusherekea miaka miaka mitano katika ofisi za Glabal Group Sinza Mori jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment