×

Huku Vinicius Jr Kule Jadon Sancho Nani Kutisha Fainali Ya UEFA?

Usiku wa leo kitapigwa kipute kikali cha kuhitimisha msimu wa mwaka 2023/24 wa ligi ya mabingwa ulaya, Ambapo itapigwa fainali ya ligi ya michuano hiyo kati ya klabu ya Real Madrid kutoka nchini Hispania dhidi ya Borussia Dortmund ya Ujerumani.

Swali kubwa ni mchezaji kuwaka zaidi katika mchezo wa kesho kati ya Vinicius Jr dhidi ya Jadon Sancho, Kwani wachezaji wote hao wawili wamekua na msimu bora na kusaidia timu zao kufika fainali ya michuano hiyo msimu huu.

Sio wachezaji hao tu wamekua na msimu mzuri kwa vilabu hivo kuna wachezaji kama Jude Bellingham, Toni Rudiger kwa Madrid, Huku Dortmund kuna beki Matts Hummels, na Julian Brandt, Lakini Vinicius Jr na Sancho ndio wanatazamwa zaidi kuelekea mchezo huu.

Kwa upande wa timu ukiachana na upinzani wa wachezaji klabu ya Real Madrid watakua wanafukuzia taji lao la 15 kwenye michuano hiyo mikubwa kabisa barani ulaya, Huku klabu ya Borussia Dortmund wao wakiwinda taji lao la pili michuano hiyo baada ya lile waliloshinda mwaka 1997 mbele ya Juventus.

Real Madrid wao wanakwenda kucheza fainali yao ya tisa tangu mwaka 1992, Hku wakiwa wameshinda fainali zao nane zilizopita hivo ni mchezo ambao wanapewa nafasi kubwa zai ya kushinda mchezo huo kutokana na historia kua upande wao kwa kiasi kikubwa.

 

Suka mkeka wako kwenye mchezo huu mkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya pamoja na michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kiuhalisia mchezo utakua mkali na wenye kuvuta hisia kali kwani vilabu vyote vina ubora mkubwa ambao umewafanya kuwepo kwenye hatua hiyo kubwa kabisa ya michuano hiyo, Huku kinachosubiriwa ni nani atatwaa taji hilo na kua bingwa mpya wa michuano hiyo.

Wikiendi hii pia ligi mbalimbali zitaendelea kama Serie ya Brazil, MLS ligi kuu nchini Marekani ambapo itapigwa michezo kadhaa kama Fluminense dhidi ya Botafogo, Inter Miami watakipiga dhidi ya St. Louis michezo yote hii unaweza kubashiri kupitia Meridianbet na kupiga mkwanja wa kutosha.

 

Leave a Comment