×

Katibu Mkuu Dk. Nchimbi Aongoza Mkutano wa ndani Wa Wanachama, Viongozi wa Chama na Serikali Manyara

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga  akizungumzia mambo yaliyotekelezwa katika mkoa wake.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wanachama na Viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi mbalimbali Mkoa wa Manyara, kwenye mkutano wa ndani, uliofanyika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Manyara, mjini Babati, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili mkoani humo.

Katibu wa NEC, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Hamid Abdalla akizungumza Jambo na Wanachama na Viongozi wa Chama na Serikali na wawakilishi wa makundi mbalimbali Mkoa wa Manyara, kwenye mkutano wa ndani

Leave a Comment