Influencer maarufu mjini, @dotto_magari amechekelea maswaibu yaliyomkuta Mwijaku ya kutakiwa kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kumkashifu Masoud Kipanya.
Dotto Magari amesema Mwijaku alizoea kumtukana na kumdhalilisha mitandaoni lakini aliamua kukaa kima lakini safari hii, ameyatimba!