×

Putin na Kim Wawasili katika viwanja vya Kim Il Sung kwa ajili ya sherehe za makaribisho

Rais Vladimir Putin wa Urusi na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong Un wamewasili katika uwanja wa Pyongyang – uwanja wa Kim ll Sung, uliopewa jina la kiongozi mwanzilishi wa Korea Kaskazini, linasema shirika la serikali la Urusi RIA.

Shirika hilo limeongeza kuwa “sherehe kuu ya kuwakaribisha kwa heshima ya ziara ya [Putin] imeanza”.

 

Leave a Comment