Utamu wa michuano ya EURO unazidi kunoga ukibeti mechi zako na Meridianbet sasa. Usisubiri kuhadithiwa na mtu yoyote huku ni kwa mabingwa na wewe ndiye bingwa. Beti sasa mechi hizi.
Mechi ya mapema leo EURO ni hii ya Slovenia dhidi ya Serbia ambao walipoteza mchezo wa kwanza. Lakini Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kushinda Serbia kwa ODDS 1.75 kwa 4.90. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, ilikuwa mwaka 2022 na walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Beti mechi hii.
Michuano ya EURO inaendelea kushika hatamu, hivyo suka jamvi lako hapa na ODDDS KUBWA. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Pia leo hii kutakuwa na mtanange mzito wa England dhidi ya Denmark katika dimba la Deutsche Bank Park huku mechi ya mwisho kukutana ikiwa ni kwenye EURO 2020 na South Gate na vijana wake walishinda.
Vijana wa Gareth Southgate wanapendelewa zaidi kushinda mechi hii kwa kikosi bora ambacho anacho kama vile, Harry Kane, Foden, Jude Bellingham, Saka na wengine wengi, huku kwa upande wa Denmark wao wana wachezaji kama vile Hojberg, Christian Eriksen, Hojlund ambao wanahitaji ushindi leo. Je nani kushinda leo?. Jisajili sasa.
Macho yote yatakuwa pale saa nne ambapo Spain atachuana vikali dhidi ya Italy huku timu hizi zikianza vyema mechi zao za kwanza. Hispania chini ya Luis de la Fuente walimfumua mtu bila kuruhusu bao lolote wakati Spalletti na vijana wake walifanya “Come back”.
Huku kushoto kuna Yamal, Morata, Rodri, Nacho, Carvajal, wakati kwa upande wakulia kuna Federico Chiesa, Jorginho, Barella, Scamacca na wengine kibao. Je ni upande upi unaupa pesa yako wakupe pesa zaidi?. Bashiri mechi hii.
Ijumaa ya kesho Slovakia atakuwa dimbani baada ya kumpasua mtu na safari hii atakiwasha dhidi ya Ukraine ambao wamechapika mchezo wao uliopita. Meridianbet wamempa nafasi ya ushindi UK kwa ODDS 2.11 kwa 3.57.
Je Ukraine baada ya kuanza vibaya michuano hii, kwenye huu mchezo wa pili wanaweza kufanya maajabu yoyote?. Tengeneza jamvi lako sasa na Meridianbet.
Naye Poland atakuwa kibaruani dhidi ya Austria huku timu zote zikiwa zimetoka kupoteza mechi zao za kwanza, hivyo hapa kila timu inataka ushindi wa hali na mali. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Takwimu zinaonyesha kuwa 2019 walipokutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Suka jamvi lako hapa.
Pointi tatu zitawaniwa kati ya Netherland dhidi ya France ambao walipata ushindi mwembamba mechi yao ya kwanza, vilevile bado taarifa hazijatoka kama nahodha wao Kylian Mbappe atakuwepo au baada ya kuumia mechi iliyopita.
Zinakutana timu mbili ambazo zote zina wachezaji wazuri kwa Uholanzi kuna Memphis Depay, Gakpo, Xavi Simons, Dumfries, Ake na wengine wengi wakati kwa Les Blues wao wana Rabiot, Mbappe, Griezmann, Kante, Hernandez na wengine kibao. Meridianbet wanampa asilimia 1000 Ufaransa kushinda kwa ODDS 2.25 kwa 3.14. Wewe unampa nani?. Jisajili hapa.